- 4,677 viewsDuration: 3:04Watu wawili wafariki na wengine 53 kujeruhiwa wakati wa vurugu zilizokumba mkutano wa Linda Mwananchi kaunti ya Homa Bay. Kulingana na ripoti kutoka hospitali ya rufaa ya Homa Bay, mwanamke mmoja afariki alipokuwa akitibiwa baada ya kugongwa na gari wakati wa msafara wa Linda Mwananchi Homa Bay mjini, huku makumi wengine wakiwa na majeraha ya kukatwa kwa mapanga. Haya yajiri huku manusura wa vurugu hizo wakisimulia yaliyojiri.