Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wakamatwa kufuatia vurugu za Nembure

  • | Citizen TV
    3,960 views
    Duration: 2:33
    Watu wawili wamekamatwa kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa eneo la Nembure, Kaunti ya Embu, na kusababisha vifo vya watu wawili. Haya yamejiri huku Mbunge wa Manyatta, Gitonga Mukunji, akikwepa mtego wa polisi wa kumkamata nyumbani kwake Mutunduri. Mukunji, aliyehudhuria ibada ya Jumapili Mbeere Kusini, amesisitiza kuwa hatishwi na hatua ya serikali ya kutaka kumkamata, huku akikanusha kuhusika na vurugu hizo. Gatete Njoroge anatuarifu.