Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wauawa, nyumba tano zateketezwa Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    12,626 views
    Duration: 2:36
    Watu wawili wameuawa na nyumba tano kuteketezwa katika kijiji cha Chalicha, eneo la Sikhendu, kaunti ya Trans Nzoia, katika tukio la kulipiza kisasi. Inaarifiwa kuwa kisasi hicho kinahusishwa na wizi wa kimabavu na madai ya ubakaji yaliyotokea katika boma moja mwezi uliopita. Collins Shitiabayi anaarifu huku taharuki ikitanda katika kijiji hicho.