Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wazuiliwa kufuatia kutoweka kwa mtoto Nakuru

  • | Citizen TV
    2,259 views
    Duration: 3:21
    Watu wawili wanazuiliwa na polisi katika kaunti ya Nakuru County kuhusiana na kutoweka kwa mtoto wa miaka minne. Familia ya mtoto huyo inasema mwana wao aliibwa na watu wanaowafahamu. Aidha, inahofiwa kuwa watoto hao walipewa dawa za kuwafanya walale kabla ya kuibwa.