Skip to main content
Skip to main content

Watu wenye ulemavu wa kusikia walalamikia kutengwa kwa ukosefu wa watafsiri

  • | Citizen TV
    272 views
    Duration: 3:22
    Watu wenye ulemavu wa kusikia wanalalamikia kutengwa katika jamii kutokana na ukosefu wa watafsiri wa lugha ya ishara katika maeneo ya umma. wazazi wamehimizwa kutowaficha watoto wenye ulemavu huo na badala yake kuhakikisha wanapata elimu.