Skip to main content
Skip to main content

Watu wenye ulemavu zaidi ya 1,000 kusaidiwa kaunti ya Kitui

  • | Citizen TV
    122 views
    Duration: 1:47
    Watu zaidi ya elfu moja wenye ulemavu kutoka Kaunti ya Kitui watanufaika na viti vya magurudumu kutoka kwa shirika la Hope Mobility kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Kitui.