Skip to main content
Skip to main content

Watukutu wasipotezwe, wasiuawe, wasitekwe.

  • | BBC Swahili
    5,907 views
    Duration: 1:03
    Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa jimbo Kuu Katoliki Mwanza amesema hakuna Taifa linalokosa Watukutu lakini Watukutu hao hawapaswi kupotezwa, kutekwa au kuuawa huku akisema amani haiwezi kupatikana pasipo na haki na wasiopenda haki ndio wanasabisha fujo. Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa taarifa Kanisani baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kuthibitisha kumpata Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, ambaye alikuwa ameripotiwa kupotea tangu October 9, 2025 na kupatikana akiwa salama katika mashamba ya Kijji cha Mawa, Kata ya Hanga Wilayani Namtumbo. - - #bbcswahili #utekaji #tanzania #uchaguzi2025 #kanisakatoliki