Skip to main content
Skip to main content

Wauguzi kaunti ya Embu watishia kuanza mgomo baada ya siku 7

  • | Citizen TV
    224 views
    Duration: 1:50
    Huduma za afya katika Kaunti ya Embu huenda zikatatizika baada ya wauguzi kutoa notisi ya mgomo wa siku saba kwa serikali ya kaunti wakilalamikia kutotekelezwa kwa makubaliano yaliyofikiwa mwaka 2024.