1 Jan 2026 4:10 pm | Citizen TV 208 views Duration: 1:26 Waumini wa kanisa la Liberty Gospel church eneo bunge la Bureti waliungana na wakenya wengine kukaribisha mwaka mpya wa elfu mbili ishirini na sita kwa maombi na kuimba nyimbo za kumuabudu mungu.