- 1,059 viewsDuration: 3:59Wavuvi wanaotumia boti ndogo kuvua samaki karibu na ufuo wa bahari katika kaunti za Kilifi na Tana River wanalalamikia uhaba wa samaki, unaochangiwa na meli zinazotumia vyavu vya kukokota. Meli hizo zimesababisha uharibifu wa matumbawe, huku uvunaji wa samaki wachanga ukichangia kupungua kwa samaki baharini. Wachuuzi wa samaki na wanamazingira sasa wanawalaumu wanasiasa kwa kusimamia uvunjaji wa sheria za uvuvi baharini.