1 Jul 2026 10:57 am | Citizen TV 122 views Duration: 1:14 Wanachama 250 wajihusishao na maswala ya uvuvi na uchumi wa baharini kutoka kaunti ya Kilifi wanufaika na vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 12 kutoka mradi wa RedSea .