- 563 viewsDuration: 1:13Wavuvi watano wamefariki baada ya boti walimokuwa kuzama katika eneo la Dho-Goye kwenye ziwa Victoria kaunti ya Siaya. Ripoti kutoka eneo hilo zikiarifu kuwa, miili miwili tayari imeopolewa kutoka kwenye ziwa hilo huku juhudi zikiendelea kuopoa miili mingine mitatu.