Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi ziwa Victoria wanataka idara ya utabiri wa hewa kuwashirikisha

  • | Citizen TV
    355 views
    Duration: 2:56
    Wavuvi katika ziwa Viktoria sasa wanaomba idara ya utabiri wa hali ya hewa kushirikiana nao wakati huu ambapo mvua inazidi kunyesha na hali ya anga pia ikibadilika. Hatua hiyo wanasema itawasaidia kuzuia ajali ziwani wakati wanapoendeleza shughuli zao za uvuvi.