20 May 2026 10:19 am | Citizen TV 10,314 views Duration: 2:49 Baadhi ya wawakilishi wadi katika bunge la Narok wazabana makofi na kurushiana makonde walipotofautiana wakati wa mjadala wa mswada wa kumng'atua waziri wa fedha wa kaunti hiyo David Ole Muntet.