Skip to main content
Skip to main content

Wawekezaji Nandi wamezindua muungano wa kuwajumuisha wamiliki wa hoteli ili kuhimarisha utalii

  • | Citizen TV
    609 views
    Duration: 2:27
    Katika juhudi za kuimarisha sekta ya utalii, wawekezaji katika kaunti ya Nandi wamezindua rasmi muungano unaolenga kuwajumuisha wamiliki wa hoteli, waelekezi wa watalii, na wamiliki wa vituo vya burudani ili kuinadi kaunti hiyo kama kituo kikuu cha utalii nchini.