- 4,037 viewsDuration: 1:36Watu wawili wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 na Mahakama Kuu ya Kibra baada ya kupatikana na hatia ya wizi na dhuluma za kijinsia. Kwingineko, washukiwa wawili wanaohusishwa na mauaji ya watu watatu katika Kaunti ya Machakos mwezi jana pia wamefikishwa mahakamani. Washukiwa hao wanadaiwa kuwavamia watu watatu waliodai walikuwa wezi na kisha kuwashambulia kabla ya kuteketezwa.