Skip to main content
Skip to main content

Wawili wakamatwa zaidi kuhusu mauaji ya Daktari Mutiso

  • | Citizen TV
    14,258 views
    Duration: 2:24
    Watu wawili zaidi wamekamatwa kuhusiana na mauaji ya Daktari Victoria Mutiso, yaliyotokea Jumatano iliyopita katika eneo la Upper Hill hapa jijini Nairobi. Washukiwa hao wawili, Angela Mulwa na Nelson Masiga, watafikishwa mahakamani hapo kesho huku uchunguzi ukiendelea. Wawili hao walikamatwa Jumamosi, na gari aina ya Range Rover lilipatikana karibu na nyumba ya mmoja wa washukiwa hao. Stephen Letoo na taarifa zaidi kuhusu kitendawili cha mauaji ya Daktari Mutiso.