Skip to main content
Skip to main content

Wazazi Kwale waonywa dhidi ya ukataji wa kilimi kwa watoto

  • | Citizen TV
    855 views
    Duration: 3:15
    Wazazi katika kaunti ya Kwale wamehimizwa kuwapeleka watoto hospitalini wanapopata matatizo ya koo au kikohozi badala ya kuwapeleka kwa matabibu wa jadi kwa ajili ya kukatwa kilimi. Madaktari katika kaunti ya Msambweni Referral Hospital wamesema hospitali hiyo imepokea visa vitano ndani ya mwezi mmoja vinavyohusishwa na utaratibu huo, wakionya kuwa unaweza kusababisha madhara makubwa ya kiafya na kusisitiza umuhimu wa kutafuta huduma za matibabu katika vituo vya afya.