- 1,061 viewsDuration: 3:31Mkanganyiko umeendelea kushuhudiwa kwenye mpito wa wanafunzi wanaojiunga na sekondari ya juu nchini huku shule za zamani za kitaifa zikionekana kuwa chaguo bora kwa wanafunzi wengi. Hali hii ikisababisha shule hizi maarufu kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaotaka kujiunga nazo. Shule hizo za ngazi ya C1 zimepokea maelfu ya maombi kinyume na nafasi chache walizonazo