2 Jun 2026 1:41 pm | Citizen TV 236 views Duration: 1:08 Wazazi katika Kaunti ya Vihiga County wamehimizwa kuwalinda watoto wao wa kike dhidi ya dhuluma za kijinsia na ubakaji, huku visa vya ukatili huo vikizidi kuripotiwa katika eneo hilo.