Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wa Adanya Pri School waandamana wakilalamikia unyanyasaji

  • | KTN News
    391 views
    Duration: 1:55
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Masomo katika shule ya msingi ya Adanya, eneo la Teso Kaskazini, yalisitishwa kwa muda baada ya wazazi kuandamana barabarani wakilalamikia unyanyasaji, usimamizi mbovu na ushirikina. Wazazi hao waliapa kutolegeza msimamo wao na wataendelea kufanya maandamano mara kwa mara hadi mkuu wa shule hiyo ahamishwe. Walisema viwango vya elimu katika shule hiyo vimeshuka licha ya kuwa imekuwa ikiongoza katika matokeo ya KCPE kwa miaka mingi katika eneo la Teso Kaskazini. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews