Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wahimizwa kuzungumza na watoto wao ili kuwakinga dhidi ya mienendo hatari

  • | Citizen TV
    294 views
    Duration: 1:14
    Wazazi wamehimizwa kuzungumza na watoto wao wanapokuwa nyumbani ili kuwazuia kujiingiza katika mienendo inayoweza kuwaletea matatizo. Wito huo umetolewa na Kamishna Msaidizi wa Kaunti (ACC) wa Nguutani, Alfred Munyiri.