- 281 viewsDuration: 2:01Wazazi wa Watoto wenye ulemavu ambao wamefikisha umri wa kuchukua vitambulisho wameshauriwa kuhakikisha wanajisajili kama wapigaji kura ili kutekeleza haki yao ya kidomekrasia katika uchaguzi mkuu mwaka ujao. Wakizungumza huko Malindi, wanaharakati wanasema Mila na tamaduni za jamii ya Mijikenda Pwani zinawafanya baadhi ya wazazi kuwanyima Watoto wao haki kwa kuwaficha na kuwatelekeza. Maafisa hao walikuwa wakizungumza wakati wa zoezi la usajili wa vitambulisho kwa watu wanaoishi na ulemavu na jamii ya eneo hilo kwa ujumla.