- 2,027 viewsDuration: 2:48Wiki mbili kabla ya wanafunzi wa sekondari ya juu kuripoti shule chini ya mfumo mpya wa cbe, baadhi ya wazazi na wanafunzi wanaonyesha kutoridhishwa na shule ambazo wametakiwa kujiunga nazo. Baadhi yao wakisema kuwa hadhi ya shule walizopewa ni chini ya matokeo ya wanafunzi. Wizara ya elimu imesema wanafunzi zaidi wamechagua shule zilizo na uwezo wa wanafunzi wachache.