Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wanafunzi wajengewa chumba cha kuwalea watoto Murende

  • | Citizen TV
    1,312 views
    Duration: 4:15
    Kama njia mojawapo ya kupiga jeki elimu ya akina mama wachanga wanaotafuta kozi mbalimbali katika eneo la Matayos na viunga vyake, chuo cha ufundi cha Murende kimeanzisha makao maalum yaliyotengewa wanafunzi wa kike walio na watoto wachanga. Chumba hicho kinawapa fursa ya kuwanyonyesha na kuwahidumia wana wao huku wakiendelea na kozi zao mbalimbali.