- 209 viewsDuration: 1:20Mwalimu mkuu wa shule ya Cheboingong kaunti ya Bomet Rodrick Chepkwony awataka wazazi na walezi kutumia likizo fupi kuwaelekeza watoto wao huku nchi ikikabiliwa na wimbi la machafuko shuleni. Asisitiza kuwa ongezeko la visa vya utovu wa nidhamu na machafuko shuleni ni kwa sababu wazazi wengi hawajawawekea watoto wao mazingira ya kuwa na uhuru wa kuzungumzia yanayowasibu.