Skip to main content
Skip to main content

Wazee Samburu waunga mkono tohara mbadala kwa wasichana

  • | Citizen TV
    357 views
    Duration: 3:05
    Juhudi za mchakato wa tohara mbadala miongoni mwa watoto wa kike katika kaunti ya samburu zimeanza kuzaa matunda,wazee waliokaidi na kupinga mchakato huo wakianza kuitikia mwito huo unaolenga kumlinda mtoto wa kike dhidi ya mila potovu na katili. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.