Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa Abaluhya wapinga sherehe ya Iteso Esibembe inayotarajiwa kufanyika Jumamosi

  • | Citizen TV
    2,189 views
    Duration: 1:32
    Wazee wa jamii ya Abaluhya wamepinga kufanyika kwa sherehe ya Iteso inayotarajiwa kufanyika Jumamosi katika Shule ya Esibembe, Bukhayo. Hatua hiyo imezua mgogoro wa kitamaduni huku pande mbalimbali zikitoa msimamo kuhusu kufanyika kwa sherehe hiyo.