31 Aug 2026 1:11 pm | Citizen TV 765 views Duration: 1:27 Wazee wa jamii ya Agikuyu Kaunti ya Kirinyaga wamekemea vikali ongezeko la siasa za fujo na ghasia nchini, wakitaka viongozi wa kisiasa kutumia njia za amani katika kushindania uongozi.