18 Aug 2026 1:14 pm | Citizen TV 1,779 views Duration: 1:54 Wazee wa jamii ya Luo katika kaunti ya Trans Nzoia wamekashifu vikali ghasia zilizoshuhudiwa katika kaunti ya Homa Bay wakati wa mikutano ya kisiasa ya vuguvugu la Linda Mwananchi.