15 Jun 2026 10:21 am | Citizen TV 929 views Duration: 1:50 Wazee wa jamii kutoka maeneo ya mpakani mwa Kenya na Somalia wamefanya mkutano wa amani unaolenga kuimarisha uhusiano kati ya jamii hizo mbili, kufuatia mzozo uliozuka baada ya watu wanne kuuawa katika eneo hilo.