- 601 viewsDuration: 1:18Wazee wa Njuri Cheke wameonya wanasiasa dhidi ya Matamshi yanayogawanya jamii kwa misingi ya kikabila. Wakizungumza katika Makao makuu ya Njuri Ncheke huko Nchiru kaunti ya meru, Wamesema Matamshi ya Ukabila, na Matusi yamekithiri kwenye mikutano ya kisiasa na yanaweza kusababisha ghasia.