- 705 viewsDuration: 53sbaraza la wazee wa jamii ya ogiek kutoka magharibi mwa mau limewasilisha orodha ya watu wa jamii hiyo waliofurushwa kutoka msitu wa mau kwa tume ya ardhi. viongozi hao wa jamii wameitaka tume hiyo kuharakisha mchakato wa kuthibitisha orodha hiyo kisha kuwafidia waathiriwa .