- 220 viewsDuration: 2:54Baraza la wazee wa jamii ya wasamburu limeafikiana kuendeleza juhudi za kukomesha mila potovu ya ukeketaji na ndoa za mapema, ili kuwalinda watoto wa kike kutoka jamii hiyo. Na jinsi anavyoarifu Mwanahabari wetu Bonface Barasa, baraza hilo limeelezea haja ya jamii kukumbatia elimu ya mtoto wa kike kikamilifu ili kukomesha mila hiyo ya kale na katili.