- 5,792 viewsDuration: 2:50Huku serikali ikiwa mbioni kuanza kuchimba na kusafirisha mapipa elfu ishirini ya mafuta ghafi ya Turkana kila siku kulekea Mombasa kufikia Disemba mwaka huu, Baraza la wazee wa Esanyanait wanasema hawataruhusu mafuta hayo kuchimbwa hadi wakazi wafidiwe kwanza. Wakazi wanadai fidia ya pesa zilizotokana na mafuta yaliyouzwa miaka saba iliyopita na ardhi yao iliyotwaliwa kwa mradi huo.