- 1,297 viewsDuration: 3:32Wazee wa vijiji kote nchini sasa wataanza kulipwa shilingi elfu tatu kwa kila mwezi. Hatua hii ikiwa ya kwanza katika historia kwa wazee hawa wa mitaa kutambuliwa kitaifa kwa jukumu lao mashinani. Kwenye mkutano na Rais Ruto Ikulu ya Nairobi, Rais pia amewaahidi wazee hawa bima ya SHA na hata simu kuendesha kazi zao. Brenda Wanga na mengi kuhusu ziara hii ya punde ya makundi yanayofika kukutana na Rais Ikulu.