6 Jan 2026 1:25 pm | Citizen TV 404 views Duration: 1:50 Wazee kutoka maeneo ya mashinani na wanaoishi na ulemavu katika vijiji mbali mbali kaunti ya Homa bay wanalalamikia changamoto wanayopitia ya kukosa stakabadhi muhimu ikiwemo hati miliki ya ardhi na kitambulisho.