5 Sep 2025 2:29 pm | Citizen TV 239 views Duration: 2:28 Baraza la wazee wa Samburu limetoa wito kwa wazee katika Kaunti ya Samburu kuungana na kuleta amani miongoni mwao pamoja na jamii zingine kwa ujumla. Mwanahabari wetu Aisha Seif anataarifa zaidi.