Skip to main content
Skip to main content

Waziri Alice Wahome asema ghorofa 4 ziliongezwa kwenye jengo lililoporomoka South C

  • | Citizen TV
    3,136 views
    Duration: 3:12
    Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya miji, Alice Wahome sasa anasema huenda hatua ya mmiliki wa jumba lililoporomoka South C kuongeza ghorofa zaidi ya 12 zilisababisha kuanguka kwake. Waziri Wahome akikiri kuwa idara zilizohusika ziliruhusu ujenzi wa jumba lililopangiwa kuwa la ghorofa 12 kuongezwa na kusababisha hatarini