- 456 viewsDuration: 1:54Waziri wa usalama kipchumba murkomen, amependekeza hatua kali zaidi kwenye mchakato wa kuwasajili makurutu wa polisi. akizungumza katika chuo cha mafunzo ya polisi cha kiganjo mjini nyeri, murkomen aliipongeza idara ya polisi kwa kuwatimua makurutu 54 kutoka chuo hicho kutokana na visa vya utovu wa nidhamu.