- 984 viewsDuration: 46sWaziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amehimiza wakenya ambao vitambulisho vyao vya kitaifa vingali kwenye vituo vya huduma kote nchini kuvichukua na kujisajili kuwa wapigakura. Akizungumza alipozuru kituo cha huduma cha Garissa, Ruku amesema kuwa inatamausha kuona vitambulisho zaidi ya elfu nne vikiwa havijachukuliwa na wenyewe kwenye kituo hicho.