Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa Ardhi Alice Wahome asema ardhi ya kiwanda cha Dangote Lamu ni mali ya serikali

  • | Citizen TV
    2,723 views
    Duration: 1:45
    Waziri wa ardhi Alice Wahome amesisitiza kuwa ardhi ya kiwanda cha kusafisa mafuta cha dangote huko lamu ni mali ya serikali. akizungumza na wanahabari hapa jijini nairobi , wahome amesema utata unaogubika fidia ya wakazi wa eneo hilo unashughulikiwa.