Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi alaani vurugu za kisiasa Homa Bay

  • | Citizen TV
    4,877 views
    Duration: 50s
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi, amelaani vurugu za kisiasa zilizoshuhudiwa katika Kaunti ya Homa Bay wakati wa ziara ya viongozi wa Linda Mwananchi.