Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa kawi Opiyo Wandayi asema yapo mafuta ya kutosha nchini

  • | Citizen TV
    237 views
    Duration: 1:08
    Kutosha nchini na kuwa meli kadhaa tayari zafikisha mafuta katika bandari ya Mombasa. Wandayi katika kikao na wanahabari nchini aidha adokeza kuwa kulingana na soko la kimataifa, huenda waziri wa kawi Opiyo Wandayi asema kwamba kuna mafuta ya wakenya wakapata nafuu ya bei ya mafuta katika kipindi kijacho. Aidha Wandayi asema kuwa serikali kwa sasa inahakikisha kuwa kupitia mpango wa serikali wa g2g, mafuta hayakosekani nchini kama mataifa mengine afrika yanavyoshuhudia uhaba wa mafuta.