Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa kilimo Kagwe aonya dhidi ya Uagizaji wa dawa za mimea zilizopigwa marufuku

  • | Citizen TV
    300 views
    Duration: 52s
    Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe, ametoa onyo dhidi ya uagizaji wa dawa za kuua wadudu wa mimea ambazo zimepigwa marufuku katika nchi zingine . Kagwe ametangaza kuwa Wizara ya Kilimo imeimarisha ukaguzi kuanzia mipakani hadi madukani ili kulinda afya ya wakenya.