Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa maji Eric Mugaa azindua mradi wa maji Yatta kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    127 views
    Duration: 1:44
    Uhaba wa maji katika eneo la Ukambani utazikwa kwenye kaburi la sahau hivi karibuni.Kauli ya waziri wa maji mhandisi Eric Murithi Mugaa wakati wa kuzindua mradi mkubwa wa usambazaji wa maji kwa wakazi wa Yatta kaunti ya Machakos. Mradi huo watarajiwa kutoa maji lita milioni nne kwa siku.