- 753 viewsDuration: 1:55Waziri wa uchukuzi Davis Chirchir amesema serikali inatafuta fedha za kukarabati barabara ambazo zimetajwa kushuhudia visa vingi vya ajali barabarani. Akisema kumekuwa na mipango ya muda mrefu kupanua barabara kadhaa ikiwemo ile ya Nairobi Kuelekea Mombasa Aidha Chirchir akisema ripoti ya awali ya uchunguzi kuhusu ajali iliyoshuhudiwa Salama iko tayari.