Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa Usalama Murkomen aongoza mkutano wa kutafuta suluhu ya mzozo wa ardhi Angata Barrikoi

  • | Citizen TV
    1,445 views
    Duration: 3:27
    Kipchumba Murkomen ameongoza mkutano wa kutafuta suluhu ya mzozo wa ardhi katika eneo la Angata Barrikoi. Mkutano huo uliowaleta pamoja viongozi wa serikali, wazee wa jamii na wadau mbalimbali ulilenga kutafuta njia ya kudumu ya kumaliza mgogoro huo na kuimarisha amani, usalama na mshikamano miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.