Skip to main content
Skip to main content

Wezi waiba mbuzi na kondoo 288 kijijini Lomunyenekiron huko Kaakong Turkana kusini

  • | Citizen TV
    1,510 views
    Duration: 3:17
    Hali ya taharuki yatanda katika kijiji cha Lomunyenekiron huko Kaakong Turkana kusini, baada ya wezi wa mifugo kuvamia maboma ya wakazi na kuiba mbuzi na kondoo zaidi ya mia mbili. Wizi huu watokea wakati ambapo serikali yaendeleza operesheni ya kiusalama iongozwayo na kikosi maalum cha polisi SOG ilengayo kutwaa silaha zote haramu katika bonde la Kerio.