Skip to main content
Skip to main content

Wito umetolewa kwa taasisi za kielimu kukumbatia kikamilifu mchezo wa viatu vya kuteleza

  • | Citizen TV
    581 views
    Duration: 1:45
    Wito umetolewa kwa taasisi za kielimu nchini kuanzisha na kukumbatia kikamilifu mchezo wa viatu vya kuteleza kama michezo mingine nchini kutokana na manufaa mbalimbali ya mchezo huo.